Mkurugenzi wa Manunuzi wa IEBC Lawy Aura Aachishwa Kazi

  Mkuugenzi wa Manunuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Lawy Aura, amefutwa kazi. Tume imesema kuchelewa kununua  karatasi za kura ndio sababu ya kumwachisha Bw. Aura...

Uhuru Kenyatta: Watakaoharibu SGR Wataadhibiwa kwa Kunyongwa

Rais Uhuru Kenyatta Jumatano, katika uzinduzi wa SGR treni iliyopewa jina ‘Madaraka Express’, alionya dhidi ya uharibifu wa reli na mifumo yote kwa jumla. Kenyatta kwa hotuba yake...
Ray C

Usirudi Kwa Madawa Diamond Platnumz Amuhimiza Ray C

Mwanamziki wa Bongo flavor anayesifika Afrika Mashariki Naseeb Abdul ama kwa jina la usanii Diamond Platnumz amemhimiza mwanamziki mwenza Ray C kuwachana na madawa ya kulevya kabisa...
Ugavana

Mike Sonko Azungumza Kuhusu Kuacha Kuwania Ugavana Nairobi

Seneta wa kaunti ya Nairobi Mike ‘Sonko’ Mbuvi leo hii amekanusha madai kuwa amejitoa kwenye kinyang’anyiro cha ugavana Nairobi. Hii ni baada ya taarifa zilizokuwa zinaenezwa kwenye...
Mike Sonko

“Hiyo ni Propaganda” Mike Sonko Dismisses Reports Of Stepping Down

Nairobi Senator and Gubernatorial aspirant Mike Sonko has rubbished reports by a section of the media that he has stepped down for Peter Kenneth in the race...
Harmorapa

Je, Mwanamziki Harmorapa anakusudia nini kuiga Harmonize?

Mwanamziki mmoja kwa jina Harmoprapa amejitokeza na kusema kuwa yeye anafananishwa sana na msanii Harmonize. Harmonize ni mwanamziki maarufu kutoka Wasafi Records Tanzania. Alivuma sana wakati aliachilia kibao...
Pitson

Nisaidie Baba, Nisipatwe na Balaa, Pitson amlilia Maulana

Peterson Githinji almaarufu Pitson amewapatia mashabiki wake zawadi ya pasaka. Ijumaa hii amewachilia kibao kipya chenye mada "Nisaide". Pitson anaomba Mungu amfungulie njia. Anaahidi Mola kuwa hatapitia...
Wazee

Wazee waliozidi umri wa miaka 70 wapata ufadhili

Wazee wamenufaika katika bajeti iliyosomwa alasiri leo hii. Waziri mkuu wa hazina ya kitaifa Henry Rotich alipoKuwa akiisoma bajeti hii ambayo ni ya mwaka 2017/2018, alitaja baadhi ya...
Gavana Joho

Gavana Joho Amkashifu Vikali Rais Kenyatta Kwa Kumzuia Kuhudhuria Uzinduzi wa Ferry

Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho asubuhi hii alikatazwa kuhudhuria kuzinduliwa kwa kivuko cha Mtongwe, kisiwani Mombasa. Joho alisema kua Rais Kenyatta alitoa amri ya kumzuia kufika pale. Alipokuwa...
Kuwa Punda

Mwanaume adai eti kahaba wake aligeuka na kuwa punda

Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aliwashangaza wengi alipoiarifu korti moja nchini humo kuwa kahaba aliyekuwa amelipa ili washiriki ngono aligeuka na kuwa punda. Cha kushangaza Zaidi ni kuwa mwanaume...

LIfe Today Connect

4,600FansLike
976FollowersFollow
156FollowersFollow

Weather

Nairobi-Kenya
overcast clouds
16.9 ° C
18 °
16 °
77%
1.5kmh
90%
Sat
20 °
Sun
21 °
Mon
22 °
Tue
23 °
Wed
24 °
Dekang Elektronik Sigara